JAMES FM RADIO ni redio ya mtandaoni inayowaletea wasikilizaji habari, muziki, elimu, mafundisho ya Injili na burudani kutoka sehemu mbalimbali. Dhamira yetu ni kuelimisha, kuhamasisha, kuburudisha na kuunganisha jamii kupitia vipindi vyenye maudhui yenye manufaa. Tunatoa nafasi kwa sauti za wananchi, vipaji vipya na mijadala inayojenga matumaini. Sikiliza matangazo yetu mubashara popote ulipo, wakati wowote, kupitia simu au kompyuta. JAMES FM RADIO — Sauti ya Matumaini Popote Ulipo.